logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mke wangu Hatoi sauti tunapofanya "pekejeng" mwanaume asimulia

Mke wangu Hatoi sauti tunapofanya "pekejeng" mwanaume asimulia

image
na

Michezo02 October 2020 - 04:58
man-crying-696x418
Lazima ukifanya pekejeng uhisi mpenzi wako kama anataka kupekejeng au la,leo katika mtandao wa kijamii mwanaume mmoja aliandika ujumbe na kusema kua wanapopekejeng na mke wake  haliangi , wala kuwa na dalili ya kutaka washiriki ngono.

Akiandika kwa mtandao wake alisema,

"Tangu huu mwaka uanze tukishiriki ngono hananga dalili ya kutaka tushiriki wala haliangi

Sijawahi kua na mpango wa kando wala sijawahi mkosea kwa vyovyote vile,mjulubeng wangu ni ule ule na ukubwa ni uleule kama wa mwaka jana

Mwaka jana tulipokua tukishiriki ngono alikua analia na hata kupiga nduru, je amepata kubwa kuliko yangu ama ni nini kwa kweli nimechanganikiwa." Aliandika.

Ni swali ngumu na pia ambalo lina majibu mengi lakini, baadhi ya majibu ambayo ambayo alipata ni kama yafuatayo.

official_ariwa She no longer has feelings for you again..her mind is somewhere else.

sply_juliana Probably she’s tired of faking it

iamalase Trust me, ask her if you’re not doing it right, discuss free with your woman

forever_favour Talk to her

ama_vibrant Maybe she was pretending to please

iyarejo She is tired of pretending😂😂😂

almaas Maybe she has something in her mind she’s been keeping from you. Everything is not abt sex🙄🙄🙄

demmiecentric She just discovered that cucumber is better than carrot.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved