logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wasanii walioa wanawake ambao wana watoto

Wasanii walioa wanawake ambao wana watoto

image
na

Michezo02 October 2020 - 05:09
Hawakukosa katika vyombo vya habari walipojulikana kuwa wana wanawake ambao wamewazalia watoto na kisha kuachana na wao.

Wasanii hawa ni kama,

Bahati

Mwaka wa 2017, Bahati aliandika katika mtandao wa kijamii kuwa ana mtoto msichana ambaye anafahamika kama Mueni Bahati

Hii ni baada ya msanii huyo kukana madai kuwa hana mtoto na mwanamke yeyote licha ya kuwa kwa uhusiana na mwanamke kwa jina Obura ambaye walichumbiana na kuwachana baadaye.

Ofweneke

Mcheshi huyu mbali na ucheshi wake alifunga  ndoa na msanii wanyimbo za injili Nicah the Queen , ndoa ambayo haikudumu kwa muda.

haikukaa bali walipeana talaka na mkewe.

Wawili hao walibarikiwa na wasichana wawili wenye sura rembo sana.

Diamond

Msanii Diamond hawezi kukosa katika vuta ni kuvute ya mapenzi, alibarikiwa na watoto warembo wakiwa na Zari lakini ndoa yao haikukaa sana

King Kaka

Msanii King kaka ana wanawake ambao wana wtoto wake bali si mwanamke wa kwanza Sage Chemutai amebarikiwa na msichana mwenye urembo wa kupindukia.

Jaguar

Ni mbunge na pia msanii ambaye anapenda maisha yake yawe ya siri, waliachana na Magdaline ambaye walibarikiwa pamoja na wasichana wawili warembo.

Mbosso

Mbosso ni msanii wa nchini Tanzania ambaye walibarikiwa na mtoto mmoja na mwanamke Martha, aliaga dunia huku msanii huyo akieleza sababu za kuachana naye.

Aslay

Aslay ana mwanamke ambaye anafahamika kama Tessy ambaye ana mtoto wake, wawili hao walikuwa wanahishi pamoja kama mke na mumemsanii kisha baadaye kuachana kwa hali isiyojulikana.

Shaffie Weru

Anajulikana sana kwa sababu ya taaluma yake ya utangazaji,ana wanawake wengi ambao walipata watoto naye wakati wa mahusiano naye.

Walitengana na mwanamke wa kwanza wakiwa wamebarikiwa na mtoto msichana.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved