logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Ngono imeharibu umaahiri wa wachezaji,' Mmiliki wa klabu ya Bucharest asema

'Ngono imeharibu umaahiri wa wachezaji,' Mmiliki wa klabu ya Bucharest asema

image
na

Habari02 October 2020 - 05:21
gigi
Gigi Becali, ambaye ni mmilik wa klabu ya Bucharest football club FCSB, ambayo zamani ilikuwa inajulikana kama Steaua Bucharest, anasema kuwa anaweza jua kitu cha kulaumu kufuatia matokeo finyu ambayo timu yake imekuwa ikiandikisha katika ligi ya Romania.

Washindi hao wa kombe la Uropa mwaka wa 1986, na ambao ni timu iliyo na mafanikio zaiidi ya nyingine na vikombe 26 vya ligi, wameshindwa kuandikisha ushindi katika mechi tatu mfululizo na Becali amefichua kuwa wanashiriki ngono sana.

"My players are making love with their girlfriends too often, that's why they aren't playing football so well lately," aliambia wanahabari wa nchi hiyo baada ya kutoka sare ya 1-1 na Chindia Targoviste, mechi iliyowaacha katika nafasi ya nne kwenye jedwali, alama nane nyuma ya CFR Cluj.

Becali mwenye umri wa miaka 61, ambaye alipata fedha nyingi kufuatia biashara yake ya uuzaji wa nyumba mwaka wa 1989 na aliyewahi kuwa mbunge katika bunge la bara uropa, alimsifu kocha wa CFR Cluj Dan Petrescu, ambaye alichezea Chelsea na Southampton , kwa kurudisha nidhamu katika klabu hiyo.

"Look at Dan Petrescu," alisema Becali. "CFR players have sex only once a week. They meet with women only once a week."

Reuters hawakuweza kuwafikia maafisa wa CFR ili kupata habari.

"If (FCSB striker) Florinel Coman would have rested too ... but he is doing other things," alisema Becali.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved