logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Kwendeni uko!,We embrace you kama mko boring?,Saitan!

Kwendeni uko!,We embrace you kama mko boring?,Saitan!

image
na

Burudani02 October 2020 - 05:34
nicki.jfif

NA NICKSON TOSI

Baada ya kung'atwa na shabiki mmoja kwenye jukwaa wakati wa kipindi chake katika televisheni moja ya humu nchini,mcheshi Nick Bigfish sasa amewarai wakenya kujitokeza ka kuwaunga mkono wacheshi wengine kwa sabbu wanaweka tabasamu nyusoni pao.

Muigizaji huyo vile vile alisema hakuna haja ya wafwasi wake kuhofia hali yake baada ya kung'atwa akishikilia kuwa huwa wanafuta picha za watu ambao hawapendi kazi yao katika filamu ambazo huwa wanigiza.

'Kindly embrace us as your sons and daughters, it’s never that serious we are just trying to put smiles on your faces coz Kenya sahii watu wana pitia vitu mob sana and we understand. Plus we always delete footage of those people who request us to do so" alisema Nicki.

"I urge the government to put measures to protect us guys in the creative industry by legislating laws which will ensure that we do our day to day hustle without or with minimal obstacles" aliongeza Nicki.

Nicki aliewashukuru baadhi ya mashabiki waliosimama naye wakti wa tukio hilo na kuwarai watu kuheshimu kazi za wengine .

This incident is one among many that we go through as we shoot our pranks. Just like any other job there are risks that comes with what you do, all we need is to respect what people do (legal) be it to pay bills or even as a passion. Thanks to everyone who has stood by me during this unfortunate incident" alisema Nicki.

Si mara ya kwanza kudhulumiwa na umma ,katika video nyinge,Nicki alionekana akibebwa mzima mzima na wanaume wawili baada ya kuwaonyesha madhila.

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved