Mwanamke kwa jina Uloma Reen anajutia kuwa katika uhusiano na mwanaume mfupi ambaye anasema uhusiano huo umemwacha na taabu nyingi katika mwili wake.
Uloma anasema imekuwa nadra kumbusu mumewe ambaye ni mfupi kimo cha mbilikimo ambapo analazimika kuinama chinin iwapo anataka kumbusu.
Vile dada huyo anasema imemlazimisha kuvalia vyatu fupi kando na vile alivyokuwa amezoeza kuvalia kutokana na ufupi wa mchumba wake ,swala ambalo amesema limemletea magonjwa kama kuumwa na mgongo kwa sababu kila mara anapoibnama kumpa busu.
Uloma anasema kuchumbuiana na mwanaume mfupi na ni kama kujichimbia kaburi mapema kwani huwa wanakasirika haraka ikilinganishwa na wanaume wa kimo cha wastani na wengine kuwashauri wapenzi kuvalia vyatu fupi .
“Weledi wangu na kuchumbiana na wanaume wa fupi umekuwa na taabu sana.Kukutana kwenu kwa mara ya kwanza anakuamuru usivalie vyatu mrefu ,wengine watataka mpate watoto ndio wawe na usemi katika maisha yako,wengine nao wana hasira mbaya ambayo huezi kuhimili.kufanya mambo kuwa bora,na si wakosei heshima ,naelezea tu yale ambayo nimepitia kama mwanamke mrefu ambaye nilikuwa katika uhusiano na mwanaume mfupi,mara ya kwanza nilimpiga busu mwanaume huyo mfupi ,ilinibidi niiname ndio kufikia mdomo wake,nilifikiri shingo langu litavunjika,niliamua kupasua kicheko kwa sababu alikuwa mfupi kuliko mimi ambaye nina urefu wa kimo cha 6'0 kumliko.alisema Uloma
Ujumbe huo uliibui hisia mseto miongoni mwa wanawake katika mitandao ya kijamii ambapo wengi wao walisema kuhimili mapenzi ya mwanaume mfupi ni kama Okoa jahazi.
Haya hapa ni baadhi ya maoni yao waliyotuma katika mitandao ya kijamii kuelezea hisia zao kuhusianan na maoni ya Uloma.
Je,kuchumbiana na mwanaume mfupi ni balaa ?shiriki katika gumzo hili kwa kutupa maoni yako iwapo umewahi jipata katika hali kama hii.
