Akitoa tangazo hilo katika ukurasa wake wa instagram SK alisema amejitenga ili kupeuka kuusambaza ugonjwa huo . Imethibitishw akwamba baada ya tukio hilo Diamond ameamua kuchukua hatua ya tahadhari kwa kujitenga
Msanii mwingine wa Bongo Mwana FA pia amesema kwamba amepatikana na virusi hivyo lakini yuko katika hali nzuri