logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mko pamoja au mliachana? Otile na Nabeyet wakanganya hata zaidi

Mko pamoja au mliachana? Otile na Nabeyet wakanganya hata zaidi

image
na

Habari02 October 2020 - 05:52
Kila aliyefuatilia mambo yao alifahamu kwamba Otile Brown na  Nabeyet walitengana  .

Na  hata Nabbi mwenyewe alithibitisha hilo wakati huu ambapo kila mtu anakwepa  virusi vya corona kwa kujitega . Lakini ujumbe wa birthday aliomtumia Otile umewaacha wengi wakijiuliza iwapo wawili hao bado ni wapenzi au marafiki tu  .

Nabbi alimtumia Otile ujumbe huo akisherehekea  birthday yake baada ya kutimu miaka 26

 “Needless to say, it hasn’t been an easy ride but boy was it worth it! No words can describe how grateful I am that it happened. Only a few lucky ones get to love so deeply and be loved. Even fewer get to experience a feel so magnetic, so magical and for that, I consider myself lucky” Nabayet aliposti

Nusu ifuatayo ya posti yake ilikanganya hata zaidi  lakini huenda Otile aliuelewa ujumbe wenyewe

Happiest birthday to you ♥️ May Rona stay away from you forever and may you have an endless supply of sanitizers and toilet rolls. Life’s too short to be bitter and hold on to anger. Now or later, together or not, I will always be praying for your success and happiness. Cheers to more wins, peace and love  ♥️

Otile ambaye huenda hakutarajia mazuri hayo kupitia maandishi alijibu hivi ;

Unani manya uwe 

Nabbi  bila shaka alifahamu alichomaanisha Otile na mambo ya wapendanao waachie wao kwani ukijiingiza katikati utajipata pekee yako


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved