logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Nilijua kutumia tissue nikiwa kidato cha kwanza-Nyce Wanjeri Asimulia

Nilijua kutumia tissue nikiwa kidato cha kwanza-Nyce Wanjeri Asimulia

image
na

Habari02 October 2020 - 06:10
Mcheshi Nyce Wanjeri almaarufu Shiro kupitia mtandao wa kijamii alifunguka na kufichuwa jinsi alivyojuwa kutumia tishu akiwa kidato cha kwanza tangu utotoni mwake.

Alisimulia na kusema kuwa walikuwa wanatumia majani kujipanguzia endapo walienda haja kubwa alikuwa na haya ya kusema.

"LET’S TALK KIDOGO… NI NINI HIYO ULIKUJA KUJUA BAADAYE IN LIFE? MIMI NILIJUWA WASICHANA TUNAFAA KUTUMIA TISSUE AFTER KUSUSU NIKIWA FORM ONE 😥😓.

WHERE I WAS BROUGHT UP WE USED GAZETI NA MAIGOSH (MAJANI FULANI SOFT) …IF YOU KNOW YOU KNOW." Aliandika Nyce.

Nyce hakukuzwa katika familia ya utajiri mbali alijikakamua na kujulikana sana.

Awali kupitia mtandao wa kijamii alimwandikia mwendazake mama yake maombolezi marefu huku akimwambia mambo ambayo yanaendelea maishani mwake.

Nyce ni mama wa mtoto mmoja.

"DEAR MUM, IT’S BEEN FOUR YEARS SINCE WE BURIED YOU AND IT DOESN’T GET EASY AT ALL.

I REMEMBER YOU EVERY SINGLE DAY, WHEN TASHA CALLS ME MUM, I MISS YOU , WHEN I SEE ANY WOMAN WITH HER KIDS I MISS YOU ….

MUM A LOT HAS HAPPENED AND I AM THANKFUL FOR TEACHING ME TO BE STRONG. AKI NAKUMISS IF I WOULD BE GIVEN ONE WISH ONLY.

I WOULD WISH YOU COME BACK TO US. AS YOUR KIDS WE ARE SO CLOSE AND WE LOOOOVE EACH OTHER SO MUCH SO DON’T WORRY.

TASHA IS IN GRADE 3 NOW… KIZUNGU TUUU 🤣 KATOTO HODARI YAANI. MUM YOU WERE PRAYING SO HARD FOR US AKI…

NOW I HAVE ME TO PRAY FOR US. I HAVE A LOT TO TELL YOU BUT I WILL TELL YOU IN MY BEDROOM ALONE AS USUAL 😢😭.

CONTINUE RESTING WITH THE ANGELS.. WE LOVE YOU SO MUCH WANGARI ELIZABETH.. AND MUM IMAGINE KUNA KATOTO KANAITWA WEWE… 😍😍😍😘.

AND MUM NIKO NA UDAKU AKI 😎… I MET SOMEBODY MUM, HE IS AMAZING 😘😇. @ADDEHPRINCE @NATASHANYAWIRA @IAM.THUO." Aliandika Nyce.

Je uliweza kupitia aisha ambayo mcheshi Nyce alipitia?

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved