Ubunifu wa kutengeneza vibonzo ama meme nchini unatazamiwa kubuni nafasi za ajira kwa idadi kubwa ya vijana ambao hawana kazi nchini.
Hapa ni baadhi tu ya meme ambazo wakenya wamekuwav wakitengeneza ikiwa ni kama njia ya kufupisha uandishi wa maneno wakati wa mawasiliano. Tazama japo ukicheka cheka kiustaarabu.
Meme hutumika kuzungumzia kila aina ya gumzo mtaani hata kama hukudhamiria kupasua kicheko unajipata umeachilia kicheko cha ujinga.
Meme hutumiwa zaidi katika mitandao kama vile WhatsApp, Facebook na Instagram.