Teacher Wanjiku ni miongoni mwa wacheshi maarufu nchini na ambao wana idadi kubwa ya wafuasi wengi nchini kutokana na ucheshi wake. Wasichokifahamu watu wengi ni kuwa mama huyo amebarikiwa watoto wawili wasichana ambao wamebarikiwa sura ajabu.
Wakati mwingine Teacher Wanjiku hupenda kujiita Mama Zuri na watu wengine hudhani ni labda ni jina lingine la majazi. La hasha mmoja wa mtoto wake anaitwa Zuri na mwingine anaitwa Nicole.
Hapa tumeweka wazi picha za vichuna hao wawilki, tazama.
Wanamfuatilia kwenye vitandawazi vya kijamii walikuwa na haya ya kusema.
mwangi_wa_ndichu Sasa hapa nani mama ya mwingine 🔥🔥🔥😍😍
nycewanjeri Aki ako mtall kukulikooo
connie_nyambu 🔥🔥slaying goals
kevo1083 Waooo I love it