Mmoja wao kama amekasirika kila mtu lazima ajue kwa maana huwa wanaleta makasiriko yao katika mitandao ya kijamii.
Mwaka jana, wawili hao walionekana wakiwa pamoja hadharani, walikana madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini baadaye wakasema kuwa walikuwa wapenzi.
Mmmmh lakini kwa sasa Amberay inaonekana yupo peke yake katika karantini kwa maana aliposti akicheza wimbo wa Mauzo wa hivi maajuzi.
Aliandika na kusema,
"JUST HERE FEELING MYSELF 🥰CAN SOMEONE PLEASE TELL @BROWNMAUZO254 AWACHE MAKASIRIKO 😁."Amberay Aliandika.
Mwaka jana, mauzo alithibitisha kuwa wawili hao walikuwa wapenzi
“LOVE YOU LIKE A FAT KID LOVES CAKE."BROWN MAUZO Alisema.
Pendo kweli lilikuwa limenoga huku Ray akijibu
“Thank you for loving me 🥰I love you more honey ❤️❤️.” Ray Alijibu.
Mashabiki wake kwa haraka walitoa hisia na maoni yao, haya hapa maoni yao
nakshi_eve
Ako kwa jovial 😁😂😂 mfuate uko
tuniy_001
Yani nilikuwa najiulizaga kimoyo kimoyo tuu pekee yangu kuwa huku kuliendaje
matoney
Finally Karibu nikuilize kuliendaje mimi Kama insta in law
k_lama_rapstar
@iam_Amherst mzalie japo in mtoto mmoja @brownmauzo254 Amelia sana 😂😂😂
mmwende
Baridi imezidi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣