Kwa warembo waliokuwa wanammezea mate O.J sasa ametoka kwa sokoni.
O.J amepata mrembo kwa Grace Satrine kutoka kaunti ya Nakuru ambaye anamtambulisha kama daddy's finest kwa lugha ya kimombo.
Kupitia ujumbe aliouandika O.J alimwambia mpenziye kuwa;
“WALK WITH PEOPLE WHO MAKE YOU SMILE, OPEN YOUR UPSTAIRS LOCK, DON’T FAIL YOU, WHO LOVE YOU, WHO MOTIVATE YOU, ADVISES YOU AND WARN YOU WHEN YOU MAKE MISTAKES AND ALWAYS UNDERSTAND YOU INCLUDING MOODY, HAPPY AND SAD MOMENTS.” Aliandika.
Alimshukuru kwa kuwa naye kwa kila jambo huku akimwambia kuwa yeye ni bora zaidi
“THANK YOU THAT YOU ARE MY BEST, BEST, BEST BABY AND FRIEND. MAY GOD BLESS AND KEEP YOU.”
MHARIRI: DAVIS OJIAMBO