Siku kama ya leo mwaka 1981 ulimwengu uligutushwa na taarifa za kifo cha msanii wa nyimbo za reggae Bob Marley aliyefariki akiwa na miaka 36.
Marley alifariki kutokana na ugonjwa wa saratani .
Mwaka 1999 wimbo wake wa ONE LOVE ulitajwa kama wimbo wa karne huku albamu yake ya EXODUS ikitajwa kama albamu ya karne ya 20.
Je wimbo upi wa gwiji huyo unaouenzi zaidi?