Amesema kichuna huyo alirithi nafsi ya mapenzi ndani ya roho yake baada ya kuachana na Vera Sidika.
Akiwa kwa mazungumzo na mcheshi Jalango kupitia Youtube, Otile alisema kuwa kati ya wanawake ambao amechumbiana nao, Nabayet ni mtu tofauti.
“A LOT OF PEOPLE REALLY DO NOT UNDERSTAND ME AND THEY JUDGE ME BASED ON MY PREVIOUS RELATIONSHIPS. I AM A GUY WHO WILL DO CRAZY THINGS FOR THE PERSON THAT I LOVE,” alisema Otile
Otile alisema kuwa japo wamekuwa na mgogoro wa kila mara katika uhusiano wao, atasalia kuwa mwanamke ambaye alimpenda zaidi.
Otile aliongezea kuwa kwa muda huo wote, Nabayet hajawahi kumuandalia mankuli yoyote.
“SHE UNDERSTOOD ME VERY WELL AND WAS VERY SUPPORTIVE. SHE WAS A LADY WHO WOULD CRY WHEN SHE WAS INSECURE OR ANGRY. SHE WAS NOT A DRAMA QUEEN.”