Kulingana na Gee Gee hamna ndoa ambayo ni kamilifu.
"Si kuwa nazungumza na mke wangu jambo ambalo lilikuwa ngumu kwake, ni moja wa jambo kati ya mambo mengi lililofanya tukue na utofauti." Gee Gee Aliongea.
Gee Gee alimuoa mkewe mnamo mwaka wa 2014 lakini baada ya miaka minne hawakuweza kubarikiwa na mtoto, mkewe alisimulia walipokuwa wanasherehekea miaka minne katika ndoa vile waligombana usiku huo.
"Nilileta mazungumzo hayo ya kutaka tuwe na mtoto, lakini alinishauri nimpe muda ili afikirie kuhusu jambo hilo, nilikosa uvumilivu na hapo ndipo nilianza kuteta kwa maana nilikuwa nimeona nimepoteza ujana wangu kwa muda mrefuNiliolewa nikiwa na miaka 24 na wala sikuwa nataka kupata au kuzaa watoto nikiwa na mika kama themanini hivi nilifikiria kuwa hakuwa anataka tupate watoto
Pia nilifikiria ninaishi katika ndoa ya utoto." Alieleza Jasmine.
Jasmine alieleza vile hawakuzungumza pamoja na mumewe baada ya majadiliano hayo,
"Baada ya majadiliano, tungemaliza wiki mbili bila kuzungumza, na hapo uhusiano wetu ulikuwa na utofauti mwingi nilimpigia mama yangu simu nikamwambia narudi nyumbani."
Wawili hao walibarikiwa na mtoto mmoja miezi michache huku Gee Gee akimnakilia mkewe ujumbe wa kumshukuru.
"AFTER BEING AT THE DELIVERY ROOM WITH MY WIFE LIKE 9 MONTHS AGO, I REALIZED WHY THE MOTHERS’ DAY HYPE IS HUGE. MOTHER’S GO THROUGH A LOT FROM DELIVERY AND RAISING UP CHILDREN, TO ALL THE COUNTLESS MOTHERLY ROLES THAT THEY UNDERTAKE. I AM PERSONALLY EXCITED TO CELEBRATE MY WIFE ON HER FIRST MOTHERS’ DAY CELEBRATION. HAPPY MOTHERS’DAY JASMINE. YOU ARE DOING AN AMAZING JOB BEING A WIFE AND A MOTHER. SIKU NI YAKO, ULIZA UNACHOTAKA😂 HAPPY MOTHERS’ DAY TO ALL MOTHER’S, MOTHER FIGURES, SPIRITUAL MOTHERS, FUTURE MOTHERS’ ETC MBARIKIWE SANA."