logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Esma Platnumz akataa kutenganishaTanasha na Diamond na kusema ndoa yake iko motoni

Esma Platnumz akataa kutenganishaTanasha na Diamond na kusema ndoa yake iko motoni

image
na

Habari02 October 2020 - 08:54
Esma-Platnumz-and-Petit-Man
Mama Dangote amekuwa motoni baada ya kulazimishwa na mashabiki wake kuomba Tanasha msamaha kwa kuita mwanawe kichwa kubwa.

Sasa dada yake Diamond Esma yuko motoni baada ya mashabiki kwenye mitandao ya kijamii kusema kuwa alihusika katika kutengana kwa Tanasha na Diamond.

Esma alisema kuwa amechoka kwa kusingiziwa kuwa alihusika na kusema kuwa watanzania ni wanafiki. Pia aliongeza na kusema kuwa hana wakati wa kuchunguza uhusiano wa kila mtu ilhali wake wazidi kuwa mbaya zaidi.

"Kwanza watu watambue kuwa mimi sihangaiki na uhusiano wa mtu kwa sababu ndoa yangu mwenyewe inawaka moto. Halafu wanafikiri wakiniita Yuda (Judas) nitabadilika kuwa Petro (Peter). Haiwezekani." Alizungumza Esma.

Kwa wale hawafahamu uhusiano wa Esma na baby daddy wake umekuwa ukivunjika na kisha wanarudiana kila mara kwa mara tatu.

Kulingana na mwanabiashara huyo, afadhali aishi na wanawe wawili kwa maana wanaume hawajakuwa na uhusiano mwema naye.

Zari kwa muda hajakuwa na aibu kuwataja wanawake ambao ndugu yake Diamond amekuwa nao katika uhusiano wa kimapenzi.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved