logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'The failure belongs to parents,'Ujumbe wa mwanahabari Jamila Mohamed kwa wazazi baada ya ripoti ya mimba za mapema

'The failure belongs to parents,'Ujumbe wa mwanahabari Jamila Mohamed kwa wazazi baada ya ripoti ya mimba za mapema

image
na

Michezo02 October 2020 - 08:54
Mwanahabari wa runinga ya Citizen Jamila Mohamed alizungumzia mjadala unaoendelea mitandaoni huku wengi wakiulizana nani wa kulaumiwa kwa mimba za wasichana wa shule ambazo zimewashangaza wengi.

Akizungumzia jambo hilo katika memo ya dakika mbili na sekunde arobaini na nane alisema kuwa si wakati wa kulaumiana, akizungumza hayo akiwa katika kipindi cha news Gang alisema kuwa ni huzuni mwingi sana kwa maana tunaishi katika taifa ambalo watoto wamo salama wakiwa shuleni na wala si na wazazi wao.

Jamila alisihi wazazi kuwasaidia wanao kwa kila jambo ili waache kusoma mambo mengi peke yao hasa wakati huu wa karne ya 21.

"Katika memo yangu usiku wa leo ni ya kushtua na huzuni sana, hii ni baada ya wasicha 4000 wa shule wakuwa wajawazito kwa muda mfupi sana wakati huu wamekuwa nyumbani kwa ajili ya janga la corona

Mikakati ya kuwasomesha wanafunzi wetu katika mitandaoni imeenea sana na imewezesha kuleta pamoja wanafunzi wetu, pia maisha mengi yamewalazimu wanafunzi hao kuanza kutafuta riziki ili kukimu familia zao

Watoto ambao wanaomba mitaani wameongezeka kwa miezi michache ambayo imepita, kufungwa kwa shule kumeathiri vyakula na hata sanitary towels ambazo familia maskini zimekuwa zikitegemea wakiwa shuleni

Hii imeathiria wasichana wengi waende kufanya ngono ili wapate watakacho, wanaowapachika wasichana hawa mimba wanawajua vyema si wanaume ambao hawawajui

Marafiki wa karibu na hata majirani wanaweza kutekeleza jambo hilo, baada ya wasichana hao kupata mimba inachangia katika kujiua, kuavya mimba hizo, kuolewa kwa haraka, kusombwa kwa mawazo na mengine."Jamila Alisema.

Alizidi na mazungumzo yake na kusema kuwa,

"The high numbers in Machokos reflects the situation across the country, the numbers are staggering. The date points to a bigger and more worrying crisis. This is not time for blame games, all adults should own up to everything happening to our children. The failure belongs to the adults, the parents, the teachers and government. Not the Children. What is not working? is the social protection the children used to enjoy and now we have the concept of loose parenting. Where we have parents who do not want to take responsibility."

Jamila alisema kuwa wazazi wasipojukumia wanao kwa hakika watoto hao wataanza kufanya mambo ya kujukumia,

"You heard them saying hizi shule zifunguliwe hawa watoto watoke hapa. So when parents don’t take responsibility, the children will no doubt take the space and do things some of which may not be right. This things may be the early pregnancy that we are seeing. The far the parents are moving away from responsibilities the more such trends are taking root, makes me wonder how children from previous generations grew up. Its because the place of guardians and parents was taken seriously. This days children have been left to make their own decisions and the consequences are there for all to see. Ladies and gentlemen It is a shame that we live in a country where children are safer in school than they are in their own homes. Its just plain embarrassing”


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved