logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Nilikupeleka hospitali sikufahamu sitawahi kuona tena,'Nduguye mwendazake Doreen aomboleza

'Nilikupeleka hospitali sikufahamu sitawahi kuona tena,'Nduguye mwendazake Doreen aomboleza

image
na

Habari02 October 2020 - 08:28
20200710_134557-696x442
Lenny Lugaliki nduguye daktari Doreen Adisa aliyeaga dunia  asubuhi  ya leo kutokana na virusi vya corona amemuombleza dada yake kwa kuandika ujumbe wa kutoa machozi.

Mama huyo wa watoto wawili ni daktari wa kwanza wa humu nchini kupoteza maisha yake kwa ajili ya virusi vya corona.

Kupitia kwenye mitandao ya kijaii ndugu yake aliposti picha yake na kuandika ujumbe huu mfupi

"IT’S THE SADDEST MORNING. I’VE LOST A PRECIOUS ANGEL TO ME. I TOOK YOU TO HOSPITAL AS WE MADE JOKES I DIDN’T KNOW I’LL NEVER SEE YOU AGAIN. OUR LIFE WILL NEVER BE THE SAME WITHOUT YOU. REST WITH THE ANGELS DAKTARI I’LL ALWAYS LOVE YOU."

Mmoja wa marifiki zake walisema,

"MY CONDOLENCES TO THE FAMILY AND FRIENDS OF DR DOREEN ADISA LUGALIKI WHO SUCCUMBED TO COVID-19 THIS MORNING AT THE KENYATTA NATIONAL HOSPITAL. DR DOREEN ADISA LUGALIKI IS OBSTETRICIAN AT THE SAME FACILITY AND ALSO AT AGA KHAN.

SHE’S KNOWN TO MANY OF US. TO THOSE WHO THINK COVID-19 IS ONLY KILLING THE OLD, TAKE NOTES. DR ADISA WAS A FAIRLY YOUNG AND HEALTHY MEDICAL DOCTOR."

Ni jukumu langu na lako tuweze kujikinga ili kukabili kusambaa kwa virusi vya corona.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved