Kulingana na mambo jinsi yanaenda Enga anaweza kuwa anataka tu awe kwenye vichwa vya habari yaani si mara ya kwanza Enga kuzua cheche za maneno kwenye mitandao ya kijamii.
"Pole kwa kusema kuwa tumeachana na mpenzi wangu kwa sababu ya huyu mwanamume anayefahamika kama Marioo kwa taarifa yako ni mimi nilikuwa najibu jumbe zako za mwisho
Akaunti ya mpenzi ilikuwa tu na wafuasi 1000 na jamaa anatuma jumbe akimdanganya mpenzi wangu, nitakata hiyo D yako dogo BruhJichunge na ni bora uje hapa kabla sijaposti 'Screenshots' za jumbe zako." Enga Aliandika.
Ujumbe wake Magix haukuchukuliwa kwa makini bali baadi ya wasanii wenzake walianza kumcheka kwa ujumbe huo;
Hizi hapa baadhi za jumbe za mashabiki na marafiki wenzake.
DJ Shiti:sasa kama umebadilika unamwimbia Gengetone ati kimbichwa, goshodo na kindukulu Nahuyu anambembeleza na Nyimbo kama AYA una expect nini bro…😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Savara:🤣🤣🤣🤣 wewe wacha kutupima beat king
King kaka:@magix_enga Mpatie beat noma atulie , hawezi sample Mresh wako . Kwa hiyo story aulize @6ix9ine kitu ulimfanyia 😎