logo

NOW ON AIR

Listen in Live

"Bado sijui nitaendelea aje na maisha bila wewe,'Mama Nyaguthii amuomboleza Papa Shirandula

"Bado sijui nitaendelea aje na maisha bila wewe,'Mama Nyaguthii amuomboleza Papa Shirandula

image
na

Grafiki01 October 2020 - 11:04
Mama-Nyanguthii-696x418
Marehemu Charles Bukeko almaarufu Papa Shirandula atakumbukwa kwa uigizaji wake lakini kwa sana kwa kuinua vipaji vya wasanii na waigizaji wengi humu nchini.

Bukeko aliaga dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi huku akizikwa na kupewa heshima zake za mwisho Jumatatu, ni hafla ambayo ilihudhuriwa na familia, jamaa na marafiki wake wa karibu.

Mama Nyaguthii ambaye aliigiza kwenye kipindi cha Papa Shirandula. bado hajaamini kifo cha Bukeko huku akisema bado hajafahamu jinsi ya kuendelea na maisha yake bila Papa Shirandula.

" Bado sijajua jinsi ya kuendelea na maisha bila wewe, mwanamume ambaye alinifanya kuwa mama nyaguthii mwanamume ambaye  alikuwa na uigizaji moyoni mwake

Mwanamume ambaye aliwachukulia waigizaji wenzake kama familia yake, ni pigo kubwa, lala salama Papa." Ilisoma Posti ya Mama Nyaguthii.

Mashabiki wake walimtia moyo na hizi hapa jumbe zao;

phylis_labans MUNGU akwonekanie maama

philipetale It is well

 jullezkenei May he continue resting in peace

lizmass92 Pole Sana may GOD be with u

mumbe_risper It is well mamii, hugs❤️❤️❤️

 mycohcloud A tribute to a fallen legend🦁

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved