Abdul hakuwa miongoni mwa wageni walikwa ,jambo ambalo watu wengi katika harsi hiy waligundua .ingawaje babake na Diamon na Esma ni watu tofauti kila mtu alimtaraji Mzee Abdul kuja katika harusi ya Esma
Amesema ameiambia Wasafi TV, kwamba Esma said
‘ kabla sijaolewa nilimfahamisha na hata nikampa kadi ya mwaliko . labda alikasirika kwa sababu nilimtuma mtu kumpa kadi badala ya kumkabidhi mimi mwenyewe . nilimpigia simu nikimueleza kwamba nitatuma ampelekee kadi kwa sababu nilikuwa nimebanaw ana shughuli nyingi
Esma aliongeza kwamba sababu ya familia yake kutoka upande wa babake haikuwepo ni kwa ajili amekuuzwa na mamake na ndiy aliyeshughulikia kila jambo la harusi ikiweo wageni wanaoalikwa
Esma ameolewa kama mke wa tatu wa Bwana Msizwa na ana watoto wawili kutoka ndoa yake ya hapo awali