Hicho ndicho wanachojiuliza watu wengi baada ya mrithi huyo wa ufalme wa kibiashara wa Keroche kuzifuta picha zake na Ben Pol .
Anerlisa, anafahamika kwa posti zake na picha nyingi alizokuwa akifurika mitandao ya kijamii akimsifia Ben Pol lakini wengi asa wanashangaa mapenzi yalityorokea wapi .
Anerlisa ameiposti video Fulani kutoka filamu ya Nigeria inayoaminika ilikuwa ni kama ujumbe anaomtumia mume wake
‘ wanawake wote wabarikiwe
aliandika chini ya video hiyo .
Katika video hiyo mwanamme mmoja tajiri anamwendea mwanamke akimtaka amuoe kisha wanufaike kutoka kwa kila mmoja .mwanmme huyo anajigamba ni anamuitisha nambari ya kaunti msichana huyo na kumpa Naira laki tatu ambazo ni kama shilingi elfu 85
‘ nafaa kufanya nini na hizi pesa .je nafaa kununua petroli ya gari langu ama nimpe dereva wangu ? mwanamke anamuuliza
Inapofika zamu yake mwanamke huyo anampa jamaa huyo naira milioni 10 au takriban shilingi milioni mbili za Kenya ..mwanamme anapatwa na mshangao
.’.. UPGRADE YOUR CAR, TAKE CARE OF YOUR WIFE AT HOME AND STOP HARASSING YOUNG LADIES, ‘ anamuambia kabla ya kuingia katika gari la ROLLS ROYCE linalomngoja
Tazama maoni ya wafuasi wake kuhusu posti hiyo
sheilamwanyigha
fatmaally82 So this is the reason
michealsamsam Only in movies,women are too mean
mwai Feminists if only all of you were like her
shelly_magdalene Leo mjama ameshikwa anajionanga yeye ndio ako na pesa