logo

NOW ON AIR

Listen in Live

‘ Kuna kupanda na kushuka katika kila jambo’ Willis Raburu azungumza kuhusu ‘kufeli’ kwa ndoa yake

‘ Kuna kupanda na kushuka katika kila jambo’ Willis Raburu azungumza kuhusu ‘kufeli’ kwa ndoa yake

image
na

Burudani01 October 2020 - 10:21
Mtangazaji Willis Raburu  na mkewe  Marya Prude wamekuwa wakiishi  katika nyumba tofauti kwa miezi kadhaa sasa  Raburu na Marya walimpoteza mtoto wao ambaye hakuwa amezaliwa disemba mwaka jana na hilo lilimekuwa na athari kubwa sana katika ndoa yao .

Iliwachukua muda kukubali kilichofanyika .Akizungumza na Jalang’o kuhusu ndoa yake Raburu  amesema atafunguka kuhusu  suala hilo atakapokuwa tayari . Alipoulizwa kuhusu kujitosa tena sokoni kumtafuta mpenzi mwingine Raburu alisema ;

 sijaanza kudate (Akicheka) kila mtu anajua hali yangu ‘

Mtangazaji huyo wa 10 over 10  mesema atazungumzia tu ndoa yake atakapokuwa tayari kufanya  hivyo na wakati yeye na Marya watakuwepo kujibu maswali

 ‘ ni sawa  tu kuzungumzia suala hili wakati pande zote ziko hapa  fursa ikitokea tutazungumzia hilo  kwa sababu nafikiri kuna changamto katika kila jambo ..hakuna kilicho rahisi

Raburu alikana kuwahi  kuwa na mpenzi kutoka Rwanda  baada ya ‘kutenga’ na mkewe

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved