Mmoja wa mashabiki wake alimuarfu Diamond kilicho tokea huku akidai kuwa msanii Harmonize amesahau mazoezi ya WCB.
Msanii wa bnngo Diamond hakusita alimjibu huku akimshauri anapaswa kumuombea na wala si kumcheka.
“Kuna kijamna wako kaanguka huku, nafikiri amesahau mazoezi ya WCB….!” Alisema shabiki huyo.
Kwa haraka Diamond alimjibu na kumwambia kuwa ajali utokea watu wakiwa kazini na jambo la busara ni kumuombea.
“@archbody Ajali kazini, inatokea wakati mwingine…. Msimcheke, Muombeeni ndio Uungwana." Alijibu Diamond.
Hizi hapa baadhi za hisia za mashabiki;