Kwa sababu alikuwa na uchu wa kujua iwapo kweli dawa hizo zilikuwa zikifanya kazi ,Jeff alianza mawasiliano na mtu aliyekuwa akiziuza n ahata akazininunua huku akipewa maelekezo ya jinsi ya kuzitumia n ahata muda ambao anafaa kuzitumia ili kuanza kuona matokeo . Bila kusita Jeff alilipia dawa hizo kupitia simu kisha akangoja kifurushi chake na kilipowasili alianza kuzitumia dawa hizo . Baada ya wiki moja hata hivyo aligundua kwamba matokeo aliokuwa akiyapata yalikuwa na kinyume na alichoahidiwa . sehemu yake ya uume badala ya kurefuka ilikuwa ikiwa fupi na hapo ndipo safari yake ya kupata majibu ilipoanza .
Jeff akiwa na hofu aliwasiliana na yule jamaa wa Instagram ambaye alikuwa ametangaza tembe zile lakini maswali yake kuhusu kilichokuwa kikifanyika hayakupata jibu .Jamaa alisema dawa zile zikuwa zilikuwa zikifanya kazi kwa sababu ziliundwa na miti shamba kutoka Uchina na hakuelewa Mbona matokeo kwa Jeff yalikuwa tofauti . Jeff alianza kupata hofu hata Zaidi wakati alipoanza kusikiza uchungu akienda haja ndogo na hapo ndipo alipojua angelazimika kwenda hospitalini .
Alimueleeza daktari wake kuhusu dawa alizotumia na papo hapo aligundua kwamba alihadaiwa .Dawa alizopewa zilikuwa zimepakiwa upya kwa sababu dhamira halisi ya tembe hizo ilikuwa amezinunua ni kwa wanawake waliokuwa wakitaka kizutumia ili kupungu ukubwa wa matoto yao! Jeff hakuamini kwamba pangeweza kutokea mkanganyiko kama huo mkubwa kwa kiasi cha kuweza kuvuruga maisha yake kwa njia ile na daktari wake alimshauri asizitumie ila sasa hapakuwa na suluhisho la moja kwa moja la kuweza kumrejeshea urefu wa uume wake jinsi ulivyokuwa kabla hajaanza kuzitumia dawa zile