Lakini sababu ni ipi haswa kwa wanaume kufanya punyeto licha ya wao kuwa na wake au wapenzi? Husitie shaka jibu la swali lako ushaayapata hapa.
Hizi hapa sababu za wanaume kufanya hayo licha ya kuwa na wapenzi wao;
1.Mpenzi au mke akiwa ni mjamzito
Kwa kweli mwanamke akiwa mjamzito michezo ya kitandani haweani kamwe huku ikichangia wanaume wengi kufanya punyeto, licha kuwa na wake zao nyumbani, hii ni kwa sababu anahaja ya kufanya ngono lakini hawezi kwa maana mwenzake hana hamu wala hawezi kwa sababu ya ujauzito.
2. Hupunguza umwagaji wa mapema
Kulingana na visa vya wanaume wengi humu nchini wengi baada ya kufanya ngono humwaga kwa haraka sana huku hamu ya ngono ikiisha kwake bali kwa mpenzi wake bado hamu hiko kwa wingi.
Wengi husema kuwa wakifanya punyeto mara kwa mara endapo wanafanya ngono na wenzao huwa hawamwagi haraka.
3.Tabia
Wanaume wengi wameshindwa kujinasua kutokana na kufanya punyeto kwa maana wamezooea kufanya yaani ni tabia ambayo wamejizoesha kufanya kila mara endapo wamo pekeyao chumbani.
4. Ni moja wapo ya njia ya ngono
Si wote ambao wanapenda kufanya ngono bali hutegemea punyeto kama ngono yao sababu haswa nani anafahamu ni wao tu.
Lakini swali kuu ni je mwanamume au mwanamke anapaswa kufanya punyeto licha ya wao kuwa na wapenzi?