Hii hapa orodha ya watoto wa wasanii ambao wana akaunti za mitandao ya kijamii;
1.Ladasha Wambo
Ni mwanawe msanii wa nyimbo za injili Size 8 na mcheza deki DJ Mo, Wambo amebarikiwa na urembo wa kupindukia, huku akiwa na wafuasi elfu 395.
2. Princess Tiffah
Ni wanawe msanii Diamond Platnumz na Zari Hassan ambaye pia ana urembo wa kupindukia, pia kwenye mitandao ya kijamii ya instagram ana wafuasi elfu 136.
Ni mwanawe msanii Bahati na Diana Marua.
4.Prince Nillan
Hakuachwa nyuma bali alifuta nyayo za dada yake ambaye katika akaunti yake ana wafuasi zaii ya millioni moja.
https://www.instagram.com/p/CD3WprSFJv0/
5.Majesty Bahati
Ana wafuasi elfu 176, miongoni mwa watoto wengine ni Dee Daylan mwanawe Hamisa Mobetto, Amiya Kiba mwanawe msanii wa bongo Alikiba miongi mwa wengine wengi.