logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Hongera! Khaligraph Jones achapisha picha za mwanawe wa kiume

Rapper mkali Africa nzima, Khaligraph Jones na mkewe Georgina Muteti wamebarikiwa na mtoto wa kiume kwa jina 'Lu'.Wawili hao wamekuwa wakichapisha picha za kitinda mimba huyo na kulingana na Georgina, alijifungua mwana huyo takriban wiki mbili zilizopita.

image
na Radio Jambo

Habari25 October 2020 - 08:04
khali-e1471415170725

Rapper mkali Africa nzima, Khaligraph Jones na mkewe Georgina Muteti wamebarikiwa na mtoto wa kiume kwa jina 'Lu'.

Wawili hao wamekuwa wakichapisha picha za kitinda mimba huyo na kulingana na Georgina, alijifungua mwana huyo takriban wiki mbili zilizopita.

Akitangaza habari hizo njema kupitia mtandao wake wa Instagram, Georgina alifichua kuwa baada ya kufanyiwa upasuaji wakti alipojifungua kifungua mimba wake, wakti huu kila kitu kilienda salama na alijifungua kwa njia ya kawaida.

Kwa upande wake Khaligraph, alichapisha video akiskiza kibao chake kipya, 'Kwenda' huku akiwa amezingirwa na wanawe wawili.

Tazama picha zifuatazo;

Mkewe Khaligraph

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved