logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Hizi hapa sababu kwa nini wanawake wengi huamua kufanya kazi ya ukahaba

Makahaba wengi hupitia mengi huku wakitafuta riziki yao ya kila siku

image
na Radio Jambo

Habari17 November 2020 - 20:11

Muhtasari


  • Sababu ambazo wanawake wengi huanza kazi ya ukahaba
  • Ndio wengi wanafanya kazi hiyo lakini wengi hawajawahi uliza kwanini wanawake hao wameamua kufanya kazi ya ukahaba
kahaba 1

Tumewaona wengi mitaani wakifanya kazi ambayo wananchi wengi hawaipendi na hata kuwakosoa kila mara.

Makahaba wengi hupitia mengi huku wakitafuta riziki yao ya kila siku bali wengi hawajawahi jiuliza kwanini haswa wanawake hao wameamua kufanya mambo hayo.

Si kila mwanamke anapenda kuuza mwili wake kwa ajili ya pesa lakini wengi hawana kazi au mahali pa kupata riziki ndiposa wanajiunga  na kazi hiyo.

Hizi hapa baadhi ya sababu kwanini wanawake wengi ujiunga na kazi ya ukahaba.

1.Utambuzi wao ni taofauti 

Kuna wale wanona kazi hiyo ina leta pesa badala ya kutambua changamoto za kazi hiyo na mwishowe majuto yake.

2.Tamaa

Kuna wanawake ambao wanapenda pesa sana huku wasitosheke na pesa ambazo wanapata za kila mwezi, wanaona hamna haja ya kukaa nyumbani wanajiunga na kazi ya ukahaba na kuanza kupata pesa.

3.Hamu ya kuridhika 

Wanawake wengi hujipata kuwa hawawezi kutosheka na mwanamume mmoja wanaamua kutumia mwili wao vibaya na kufanya ngono na wanaume wengi ili apate kuridhika.

 

4.Kuishi maisha ambayo hayawawezi

Kama Mungu ameamua kukubariki na shilingi elfu kumi basi tosheka na hayo kwa maana ana sababu yake, lakini kuna wale hawatosheki na pesa hizo na kuanza kuishi maisha ya juu kuliko mapato yao.

 

 

 

 

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved