logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Mkuu wa kitengo cha matibau ya figo KNH Dr Were afariki kwa ajili ya Covid-19

Amekuwa ICU kwa siku 10 tangu kuambukizwa ugonjwa huo

image
na Radio Jambo

Habari21 November 2020 - 07:40

Muhtasari


 

  •  Amekuwa ICU kwa siku 10 tangu kuambukizwa ugonjwa huo 
  •  Alikuwa mkuu wa kitengo cha maradhi ya figo KNH 

 

 

Mkuu wa kitengo cha kutibu maradhi ya figo katika hospitali ya Kenyatta Dr Anthony Were Omolo  amefariki kutokana na  virusi  vya corona

Dr Were  aliaga dunia siku ya ijumaa usiku baada ya kuwa katika kitengo cha ICU kwa siku 10  ambapo amekuwa akipokea matibabu  baada ya kuambukizwa ugonjwa huo .

 

 Muungano wa madaktari umemtaja Were kama mwalimu na mtu aliyekuwa kielelezo kwa madaktari wengi . KMPDU imetuma risala  za rambi rambi kwa familia yake .

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved