logo

NOW ON AIR

Listen in Live

{Picha}Pingu ya Maisha:Mwanahabari wa Radio Africa Tina Mwambonu keshaolewa

Miongoni mwa waliohudhuria harusi hiyo nio pamoja na watangazaji wenzake

image
na Radio Jambo

Habari01 December 2020 - 10:15

Mtangazaji wa habari katika vituo vya Radio Africa Tina Mwambonu  ameasi  ukapera wikendi iliyopita   baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Sam Ndirangu .

 Tina ambaye husoma habari za kiingereza katika vituo vya Kiss na Classic pamoja na za Kiswahili katika kituo  cha Radio Jambo amefurahia sana mwanzo wa awamu  mpya katika maisha yake .

 ‘Kimekuwa kipindi  kirefu cha kuingoja siku hiyo(ya harusi) na hatimaye inafanyika ,siwezi kungoja kuanza kuitwa mke wa Ndirangu’ alisema siku moja kabla ya siku yake ya harusi .

  Miongoni mwa waliohudhuria harusi hiyo nio pamoja na watangazaji wenzake wa RAL , Tina Masika na Afrikan Njogu na Andrew Lucheli

Harusi hiyo ya waalikwa pekee ilifanyika huko Nakuru na hapa tunakuvurumishia picha kadhaa za hafla hiyo .

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved