Kuna mabo ambayo utayaona tu hapa nyumbani -Mengine hayaishi hata uishi wapi na urudi na ndio baadhi ya tabia ama mitindo inayotutambua kama waafrika .Katika podi hii leo tunapata kicheko tukikumbuka baadhi ya vitu hivi ambavyo havituachi ama tumekataa kuviacha .