logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Nimeamua kuimba nyimbo za injili,'Pigo kubwa kwa bendi ya Sailors baada ya mmoja wao kutoka

Kupitia kwenye ukurasa huo alipakia picha nyingine na wasanii wenzake

image
na Radio Jambo

Yanayojiri15 January 2021 - 11:08

Muhtasari


  • Lexxy atoka kwenye bendi ya Sailors na kujiunga na tasnia ya nyimbo za injili
  • Alitangaza hayo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram
Sailors-3-551x600

Bendi ya muziki ya Sailors wameoata pigo kubwa baada ya mmoja wao kutoka kwenye bendi hiyo na kujiungaa na tasnia ya muziki wa injili.

Lexxy YUng alisema kwamba ametoka katika bendi hiyo kupitia kwenye mitandao yake ya kijamii.

Huu hapa ujumbe wake alioaga bendi hiyo nao;

Poleni sana mabro kwwa haya..And it's with many tears Bana ..tumekuwa pamoja have done alot and achieve alot mih l wish you all best in your journey.Mih nmeamua to take on gospel industry promise sitawainamisha uko🙂And promise to always have your backs GOSPEL ARTISTS HERE I COME......" Aliandika Lexxy kwenye ukuras awake wa instagram.

Kupitia kwenye ukurasa huo alipakia picha nyingine na wasanii wenzake huku akisema ya kwamba anaona collabo katika nchi za nje.

Ni pigo kubwa kwa bendi hiyo kwa maana awali wamekuwa waking'ang'ana kwa ajili ya usanii wao baada ya mkataba wao na Mwalimu Rachel kutupiliwa mbali.

Je bendi hiyo itakuwa aje bila msanii Lexxy? toa maoni yako.

 

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2026. All rights reserved