logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Rais Kenyatta asema haya kuhusu azma ya Ruto kumrithi#PodiyaYusufJuma

Kenyatta amewaambia kwamba BBI sio ya kumpiga vita kiongozi yeyote au kumpiga jeki mwingine

image
na Radio Jambo

Habari29 January 2021 - 16:39

Muhtasari


  • Kenyatta amewaambia kwamba BBI sio ya kumpiga vita kiongozi yeyote au kumpiga jeki mwingine
  • Rais Uhuru Kenyatta ameanza kuchukua hatua kukabiliana na wimbi la mahasla kwa kukutana na viongozi wa eneo la mlima kenya .

Rais Uhuru Kenyatta ameanza kuchukua hatua kukabiliana na wimbi la mahasla kwa kukutana na viongozi wa eneo la mlima kenya .

 

Kenyatta amewaambia kwamba BBI sio ya kumpiga vita kiongozi yeyote au kumpiga jeki mwingine .Amesema hajamuambia yeyote kwamba hatomuunga mkono naibu wa rais William Ruto

Maarufu Zaidi

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved