Wanahabari Lulu Hassan na Rashid Abdalla ni wanandoa ambao huwafurahisha wengi na kupigiwa mfano na baadi ya wanandoa.
Wawili hao hawajawahi patwa na hofu ya kumsifia mwenzake kwenye mitandao ya kijamii.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa mwanahabari Lulu alimwandikia mumewe ujumbe maalum alipokuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa.
"Ni siku ya kuzaiwa na rafiki yangu mpendwa, mwanahabari mwenzangu, mfumo wangu wa msaada siku ya kuzaliwa ya baba wa watoto wangu," Aliandika Lulu.
Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki wakimtakia mwanahabari huyo siku njema;
neemasulubu: Happy birthday boss kubwa 🎉
vinnykiosh: Happy birthday rashid abdalla#sisemi kitu
farhana_oberson: power couple 😍
ms_anita254: happy birthday to him may he continue shining❤️❤️❤️
shilla_maimuna: 🔥🔥Simama basi tukuone jamani😊in love with the Abaya Ma Sha Allah. Happy birthday to him
tinaargwings: Eeeish!! Happy birthday to him