logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Utachapwa na Khaligraphs,'Mshabiki wamuonya Bahati baada ya kibao chake kipya

Siku ya Jumanne msanii huyo alitoa kibao kipya ambacho kinafahamika kama 'Fikra za bahati'.

image
na Radio Jambo

Habari08 June 2021 - 12:07

Muhtasari


  • Mashabiki wamuonya Bahati dhidi ya kumkejeli Khaligraph
Bahati

Msanii Bahati amekuwa akivuma kwa muda sasa baada ya kupakia video akivuta sigara kwenye ukurasa wake wa instagram.

Siku ya Jumanne msanii huyo alitoa kibao kipya ambacho kinafahamika kama 'Fikra za bahati'.

Ni kibao ambacho kiko miongoni mwa vibao kaika albau atakayo toa msanii huyo mwezi huu, pia katika kibao hicho amewafokea wasanii wenzake kama Khaligraph JOnes,ringtone,Daddy Owen Octopizzo miongoni mwa wengine.

Baada ya Jones kuona kibao hicho alimjibu Bahati na kumwambia awache Bhangi kwani ana kiherehere nyingi.

"Afadhali America Watu si Wakonda Kama Akina @bienaimesol , alafu Naskia @bahatikenya ameanza Bangi na Sigara ameanza Kurap matusi, punguza Iyo Bangi baba wacha Kiherehere. #RESPECTTHEOGS" Aliandika Jones.

Pia mashabiki walimuonya Bahati dhidi ya kutomheshimu Jones kwani akicheza atamchapa.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

_young_.kartel: Bahati umeanza bangi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎutachapwa na omollo usahau diana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

violajoan32: ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ umeanza kua sijui nini

official_kathode: Ommolo ni manyama tuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mwaambie kuuunga tliachia watu wa wrestling hii muziki aitaki nguvuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

mary_rey_wangari: Moshi kidogo unajiskia gangster

jfamkenya: Sawa Baba wa kambo!!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wueeh! Hapo kwa kanga ๐Ÿ‘— nayo umevisha the right person! ๐Ÿ‘๐Ÿ‘

paulngarega: The audacity of this child ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoยฉ Radio Jambo 2024. All rights reserved