Je wakati wa sodoma na gomorah umewadia, kwani vitendo ambavyo watu wamekuwa wakifanya si vya kawaida katika maisha yao.
Ni vitendo ambavyo vinawashangaza wengi na ata kuwashtua wengi kwani si vya kawaida.
Kama biblia inavyosema kwamba mwili wa mtu ni hekalu la kristo, sio wote abao wanaheshimu mwili wao.
Mwanamke mmoja aliwaacha wengi midomo wazi baada ya kukiri na kufichua kwamba amekuwa akifanya ngoni na wanaume wanne kwa siku.
Je nini kilichosababisha mwanamke huyo kuanza kufanya kitendo hicho?
Kulingana naye alimpata mume wake na mpango wa kando na kwa sababu alitaka kulipiza kiusasi aliona aweze kufanya ngono na wanaume wengine 4.
Huu hapa usimulizi wake.
"Nilikuwa nimeolewa kwa mwaka mmoja mwaka wa 2016, kwa hivyo niligundua na kuthibitisha kwamba mume wangu ana mipango ya kando nje,
Ili kulipiza kisasi, nilifanya ngono na wanaume 4 kwa siku na bado naenda kufanya ngono na yeye
Nimekuwa nikiweka sehemu zangu za siri 'Blach pepper' ili asijue mimi sijuti kitu chochote wala kuogopa lolote, najua tu jehanamu inatusibiri sisi sote,"
Mwanamke huyo alifanya vyema kulipiza kisasi au ni ushauri upi unaweza kuwapa wanawake wenye tabia kama ya mwanamke huyu?