logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Niwakati wako wakuwashukuru walio kukatisha tamaa,'Harmonize ampongeza msanii Ibraah

Pia alimpongeza msanii huyo kwa bidii yake.

image
na Radio Jambo

Habari20 August 2021 - 11:44

Muhtasari


  • Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alimshauri Ibraah atie bidii, na kwamba ni wakati wake wa kuwashukuru wote waliomkatiza tamaa ya usanii
  • Pia alimpongeza msanii huyo kwa bidii yake

Msanii wa bongo kutoka Tanzania Harmonize amempongeza,msanii mwenake ambaye amemsajili kwenye ebo ya Ibraah baada ya kibao chake kupokea watazamaji milioni 1 kwa muda wa masaa15.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram alimshauri Ibraah atie bidii, na kwamba ni wakati wake wa kuwashukuru wote waliomkatiza tamaa ya usanii.

Pia alimpongeza msanii huyo kwa bidii yake.

"HONGERA NDUGU YANGU @ibraah_tz 🀴 NI WAKATI WAKO SASA KUWASHUKURU WOTE WALIOKUKATISHAGA TAMAA ...!!! NA KUKUMBUKA YALE MAGUMU ULIYOYAPITIA NA KUYAHESABU KAMA ZILIKUWA CHANGAMOTO ILII UUONE UKUU WA MUNGU ...!!!! GO GO GO ...!!!! KEEP GOING AND MAKE THE TEAM PROUD (1.m) B4 THE DAY #KONDEGANG4YOU RUN IT UP MY PEOPLE @ibraah_tz πŸ¦…πŸ¦…πŸ¦…πŸ¦…πŸ¦…πŸ¦…πŸ¦…,"Aliandika Harmonize.

Kibao chake Ibraah cha 'Jipinde' kilipokea watazamaji milioni moja kwenye youtube kwa muda wa chini wa masaa kumi.

Baadhi ya wanamitandao walimpongeza, ilhai wengine walisema kwamba Harmonize na timu yake walikuwa wamenunua maoni na watazamaji kwenye youtube.

 

 

 

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoΒ© Radio Jambo 2024. All rights reserved