logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Wewe sio maarufu,'Wanamitandao wamshambulia Shakilla baada ya kuwauliza haya

Wengi wamekuwa wakikejeli mwanasosholaiti huyo,kwa ajili ya vitendo vyake

image
na Radio Jambo

Habari26 August 2021 - 12:50

Muhtasari


  • Wanamitandao wamshambulia Shakilla baada ya kuwauliza haya

Mwanasosholaiti chipukizi Shakilla, alipojulikana alijulikana kwa mambo yote mabaya mitandaoni.

Shakilla alivuma mitandaoni kwa muda, huku wanamitandao na mshabiki wakisema kwamba anatafuta tu kiki za kujilikana mitandaoni.

Wengi wamekuwa wakikejeli mwanasosholaiti huyo,kwa ajili ya vitendo vyake na jinsi anavyo valia mavazi yake.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amewauliza mashabiki wake kama yeye ni maarufu.

Baadhi ya mashabiki wake walimshambulia na kumwambia kwamba yeye sio maarufu, kwa sababu alivuma kwa mambo yote mabaya.

Hizi hapa hisia za mashabiki;

___.trenchkid: Mtaro ya kanairo

its_mungizzo.: ....Sasa ukijua itakusaidia aje?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

aggiehnyakerario: No. You are popular.. And there is a difference between being famous and being popular. Thank you

ryanclassics_21: Uliisha content auko ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

_kendrick_254: Ukona tabia mbaya tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

whoisekani: Yes but guess people also get tired of clout๐Ÿ˜ข

live_football.fx: ๐˜๐จ๐ฎ'๐ซ๐ž ๐๐Ž๐“๐Ž๐‘๐ˆ๐Ž๐”๐’..๐ง๐จ๐ญ ๐…๐€๐Œ๐Ž๐”๐’

_soc.rates._: Ni mtaro tu inajulikana๐Ÿ˜‚

officialgee_ke: How do i break this down...okey, you aint famous you are kinda known by a quite good number of people.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoยฉ Radio Jambo 2024. All rights reserved