logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Wanaume!Sababu nzuri kwa nini wanawake wa Kenya hukataa ngono

Inaweza kuonekana kuwa ngumu lakini ikiwa alisema hapana, labda si aina yake

image
na Radio Jambo

Habari06 September 2021 - 12:45

Muhtasari


  • Sababu nzuri kwa nini wanawake wa Kenya hukataa ngono

Ikiwa ni usiku mmoja au ngono ya wanandoa, kuna sababu kadhaa ambazo mtu hawezi kukubaliana Baada ya yote, ngono ni vizuri zaidi kama watu wanaohusika katika tendo hilo wanakubaliana na wana hisia sahihi.

Inaweza kuonekana kuwa ngumu lakini ikiwa alisema hapana, labda si aina yake au labda hakuna kitu juu yako ambacho kinamfanya awe na hamu ya kufanya ngono na wewe.

Hizi hapa Sababu nzuri kwa nini wanawake wa Kenya hukataa ngono;

1.Umesahau kubeba kondomu

Kuna baadhi ya wanawake hawawezi fanya ngono kama hamna kondomu ata kama wewe ni mpenzi wake, kwani wanapenda kinga

2.Hana hisia za kufanya ngono

Ni moja ya mambo muhimu ambayo hufanya ngono kufurahisha. Wanawake wengine huwa na hisia hasa kabla ya wakati au baada ya vipindi vyao vya hedhi.

Inaweza kuwa si kitu cha kibinafsi na yeye hana hasira na wewe.

3.Una harufu mbaya

Ndio anaweza kuwa nataka kufanya ngono na wewe, lakini akisikia harufu yako haya basi ata kataa kukupa haki yako.

Kama unataka mvutia mwanamke haya basi kuwa msafi na harufu yako ivutie.

4.Havutiwi na wewe

KUna baadhi ya wanawake watataka kufanya ngono nawe lakini havutiwi na mistari yako au havutiwi na wewe, kwa hivyo ana kuambia hapana.

 

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved