logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Kiki za kifala sana,'Mashabiki wamwambia msanii B Classic baada ya kudai ameacha muziki

B Classic ametoa vibao kadhaa ambavyo vimependwa na mashabiki mitandaoni.

image
na Radio Jambo

Habari29 September 2021 - 10:21

Muhtasari


  • Msanii B Classic ashambuliwa na mashabiki baada ya kudai anaacha muziki

Msanii kutoka kaunti ya Taita Taveta B Classic ni miongoni mwa wasanii chipukizi, ambao wamekuwa wakitia bidii katika kazi yao ya usanii kila kuchao.

B Classic ametoa vibao kadhaa ambavyo vimependwa na mashabiki mitandaoni.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram, msanii huyo amedai kwamba  amewacha muziki kwani hajakuwa akishikwa mkono na mashabiki.

Msshabiki wengi hawajachukulia haya kama jambo la kushangaza bali asilimia kubwa wamedai kwamba ni kiki tu, kama vile wasanii wengine wamekuwa wakitafuta ili kutoa kibao kipya.

"Nimeacha muziki ๐Ÿ˜ฐ Kwa sababu ya kuchanganyikiwa, hakuna msaada kutoka kwa mashabiki ๐Ÿ˜ฐsijawahi fikiria kama ningechoka na kitu nakipenda  hali ya Ila itawahimiza, kwa wale ambao waliamini poleni Labda siku moja mambo inaweza kubadilika. Bahati nzuri kwa hustle yangu mpya ๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ," Aliandika B Classic.

KUlingana na video aliopakia kwenye ukurasa wake wa instagrama msanii huyo amedai kwamba amerudi kufanya kazi ya kutengeneza magari.

Mashabiki walikuwa na haya ya kusema;

baddi_money....: kiki za kifala sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

alex_karisa: mbona hupatikani kwa simu , usichoke mwana

seggyyusta: Ndima ni ndima, Bora kibala..

mwendwaamjukuu: Kiki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ondijo076: Hii ngoma inatoka lini๐Ÿ”ฅ

presenter_ali: Mwana Rudi bana tupige shughuli , usifanye hivyoo

mathew.alfred.1694: Naamn hiii bonge la song

lilmad._: ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚bro ambia watu ukweli...


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoยฉ Radio Jambo 2024. All rights reserved