logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Nataka mimba chap chap,'Nadia Mukami amwambia mpenzi wake Arrow Bwoy

Usemi wake uliibua hisia tofauti kati ya mashabiki, hii ni baada ya Arrow Bowy kumwandikia Nadia ujumbe

image
na Radio Jambo

Habari09 November 2021 - 09:58

Huku msanii Nadia Mukami akisherehekea siku yake ya kuzaliwa, amemsihi mpenzi wake ampachike mimba.

Usemi wake uliibua hisia tofauti kati ya mashabiki, hii ni baada ya Arrow Bowy kumwandikia Nadia ujumbe na kmtakia heri njema siku yake ya kuzaliwa.

"Leo ni siku ya kuzaliwa ya malikia wangu, nakupenda sana maisa marefu To To," Aliandika Arrow Bowy.

Huku Nadia akijibu ujumbe wake alikuwa na haya ya kusema;

Najua unamtaka   mpezi ambaye ni Koffi Annan  lakini sisi World War 3 ndio tuko!!! 😁To annoying you till Infinity!!! Mimi ndio niko babe!😌 Mimba sasa chap chap 👅💦."

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

cecile_agness: @arrowbwoy niseme nisisemeee😂😂😂

chamomile313: @arrowbwoy 🤣🤣🤣🤣🤣 6months achana nayo sasa..

zion_njeri: Happy birthday to her😍😍

mwallow_arts_ke: Blessings..More life to Mukami girl🙌

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved