logo

NOW ON AIR

Listen in Live

'Nakupenda,'Vyette Obura na Bahati washerehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wao

Bahati pia alimshukura Vyette kwa kuwa mama bora kwa binti yake, na huu hapa ujumbe wake;

image
na Radio Jambo

Habari29 November 2021 - 12:56

Muhtasari


  • Vyette Obura na Bahati washerehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wao

Vyette  Obura na Bahati kupitia kwenye  kwenye kurasa zao za instagram instagram walisherehekea siku ya kuzaliwa  kwa binti yao.

Yvette alisherehekea siku ya kuzaliwa ya bintiye kwa kuweka picha nzuri kwenye instgram yake na kumshukuru Mungu kwa hatua waliyofikia.

“Tumefanikiwa kufika kwenye big 6 kwa neema ya Mungu happy birthday to my not so little beautiful baby I love you so much.” Yvette aliandika ujumbe huo wa hisia.

Bahati ni baba wa bintiye Yvette na wamekuwa wakimlea binti yao na kiukweli kabisa wanaonekana kufanya kazi nzuri kwani hakujawa na malalamiko juu ya Bahati kuwa 'deadbeat dad' au kumtelekeza binti yao.

Bahati pia alimshukura Vyette kwa kuwa mama bora kwa binti yake, na huu hapa ujumbe wake;

"HERI YA SIKU YA 6 YA KUZALIWA BINTI YANGU @MUENI_BAHATI πŸ’— Na ninapomshukuru Mungu kwa Kipaji, Uzuri na Ukuaji Wako; Ningependa pia kumshukuru Mama Yako Yvette kwa Kuwa Mama Bora Unayoweza Kumuuliza au Kumuombea!

Ombi langu ni kwamba Mungu Akupe Afya Kamili na Mafanikio. Nikukumbushe tu kwamba Una maana só Mengi kwangu na nitafanya kila niwezalo kuwa Baba Bora katika Ulimwengu Wako. Furahia Siku Yako ya Kuzaliwa Princess πŸ’— @Mueni_Bahati," Aliandika Bahati.

 

 

 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logoΒ© Radio Jambo 2024. All rights reserved