logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Jacque Maribe azungumza baada ya kufumaniwa na mpenzi mpya

Kutokana na kuenezwa kwa picha hio  kwenye mitandao ya Kijamii Jacque amejitokeza kupitia ukurusa wake wa Instastori  na kuwaeleza wanamitandao kuwa walichokuwa wanafikiria wanakijua bado wamo katika giza totoro, hawajui lolote kumhusu.

image
na

Habari27 January 2022 - 08:28

Muhtasari


•Jacque Maribe kuonekana  kwenye mtandao akiwa anapiga busu hadharani  jamaa aliyekadiliwa kuwa mpenzi wake mpya

•Inasekama kuwa Maribe alikuwa kwenye Klabu moja mjini Nyeri, ambapo alikuwa na mwanaume aliyemtambulisha kama rafiki yake kwa marafiki zake

Jacque Maribe

Mwanahabari Jacque Maribe tena amekuwa gumzo mtaani baada kuonekana  kwenye mtandao akiwa anampiga busu hadharani  jamaa aliyedhaniwa kuwa mpenzi wake mpya.

Inasekama Maribe alikuwa kwenye Klabu moja mjini Nyeri, ambapo alikuwa na mwanamume aliyemtambulisha kama rafiki yake.

Kutokana na kuenezwa kwa picha hio  kwenye mitandao ya Kijamii Jacque amejitokeza kupitia ukurusa wake wa Insta stories  na kuwaeleza wanamitandao kuwa walichokuwa wanadhani wanakijua sio hivyo bado wamo katika giza totoro, hawajui lolote kumhusu.

"Character development day is here..Wanapofikiri wanajua, hawajui- methali ya mtu" alisema Maribe.

Aliendeleza kueleza ameamua kuja na mbinu mpya ya kuwachanganya madui wake ili wasipate la kuongea.

"Wachanganye maadui kwa gharama yoyote." alisema Jacque kuwajibu walio kuwa wakieneza habari hizo.

Hii ni mara ya kwanza kwa Jacque kuhusishwa na mtu,  baada ya uhusiano wake na Jowie Irungu kusambaratika. 

 


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved