Ni furaha kwa familia ya The Mathenge's, kwani wanatarajia mtoto wao wa tatu.
Msanii Nameless na Wahu walitangaza habari hizo njema kwa mashabiki kupitia video waliopakia kwenye ukurasa wao wa instagram.
Wawili hao ni miongoni mwa wanandoa mashuhuri wa kupigiwa mfano kwani wametuonyesha kwamba ndoa inaweza kudumu licha ya changamoto ambazo wanandoa hupitia.
Wamebarikiwa na wasichana wawili Tumiso na Nyakio.
Kwenye mitandao ya kijamii wasanii hao wamekuwa wakikumbana na swali ni lii watapata mtoto mwingine, haya basi swali la mashabiki limejibiwa.
Mshabiki walimpongeza mama huyo wa watoto wawili, na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;
nyabokemoraa: Awwwww Congratulations mama....baby shower niitwe please π₯π₯π₯
nanaowiti: I guessed right!! Congratulations darling. A healthy baby loading ππππ
nicahthequeen: Congratulations π π ariririririri....Deep tumezama
millywajesus: Congratulations. This soo beautiful π
millychebby: Oh wow! Congratulations mama π
daddiemarto: Not what I expected πππ Now that’s an announcement!!! Damn!! Congratulations!!
officialjanetmbugua: Giiirrrlll! Congratulations to you, @namelesskenya and your beautiful girls! Love this reveal ππΎ