Daima kuna rafiki mmoja (au kadhaa) ambaye anajitolea kutusaidia wakati wowote tunaohitaji. Mara nyingi wanatusikiliza na kutupa mawaidha tunapopitia majaribio katika mahusiano yetu ya kimapenzi, tunapotoa kero zetu kuhusu kazi zetu na wakati mwingine wako pamoja nasi kusherehekea ushindi wetu mdogo. Hawa ndio marafiki zetu wa kufa kuzikana. Marafiki hao hujitokeza wakati tuko taabani na kutusaidia bila kuuliza maswali yoyote.
James Onyango, shabiki nambari moja wa Radio Jambo kutoka Kawangware, Nairobi anasema kwamba rafiki wake wa dhati ni kijana waliyesoma naye shule ya upili. “Tumejuana karibu miaka ishirini na sijaona rafiki wa dhati kama yule. Ameniokolea wakati sina karo ya shule ya watoto wangu, alikuwa best man kwa arusi yangu, na anaiombea familia yangu kama vile yake,” Onyango anasema.
Safaricom inakushawishi kusherehekea marafiki hawa wa dhati au familia kwa kuraukia ofa yao mpya ya tunukiwa.
Lengo la Safaricom ni kukupa suluhisho ambazo zitakusaidia na kubadilisha maisha yako kila siku. Raukia ofa za Tunukiwa ni suluhisho moja kama hilo ambalo linakuwezesha kuokoa pesa taslimu kila siku na pia inakuwezesha kufurahia muda mrefu wa mazungumzo. Ni rahisi sana, piga tu *444# na uchague Mikataba ya Dakika au tumia mySafaricom App.
Hii ndiyo mikataba utakayoipata:
1. Unlimited Calls kwa shilingi kumi tu unapata dakika 30 (valid 30mins @10bob)
Piga *444# na uchague Mikataba ya Dakika au ingia kwenye MySafaricom App. Ofa ni halali kwa dakika thelathini tu baada ya kununua. Dakika zinaanza kuhesabu mara moja na zinaweza kutumika kupiga simu kwa mitandao yote ndani ya Kenya.
Enjoy unlimited calls for only 20 bob with our special #Tuinuane Offers. Dial *444*22# or go to MySafaricom App to buy.
— Safaricom PLC (@SafaricomPLC) September 15, 2022
Offer valid for 1 hour. #LetsGoBeyond
2. Unlimited Calls kwa shilingi ishirini tu kwa lisaa limoja (valid 1Hr @20bob)
Piga *444# na uchague Mikataba ya Dakika au ingia kwenye MySafaricom App. Ofa ni halali kwa dakika sitini baada ya kununua. Dakika zinaanza kuhesabu mara moja na zinaweza kutumika kupiga simu kwa mitandao yote ndani ya Kenya.
Safaricom inakuinua na ofa nzuri za Tunukiwa kila siku.
