logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Jamaa aliyemtupa mwanamke kutoka ghorofa ya 12 afungwa jela miaka mitano

Njoroge alimtuma mpenziwe kutoka ghorofa ya 12 hadi tisa baada ya kujua kupitia Facebook

image
na

Habari01 December 2022 - 09:59

Muhtasari


•Hakimu  Esther Kimilu alimhukumu Moses Njoroge baada ya mahakama kumpata na hatia ya kumdhuru mwanamke huyo.

•Hakimu alisema kuwa mwathiriwa bado anaendelea na matibabu miaka miwili tangu tukio tukio hilo.

Moses Njoroge mbele ya hakimu mkuu Esther Kimilu mnamo Desemba 1.

Mwanamume aliyemtupa mpenzi wake kutoka ghorofa ya 12 hadi tisa baada ya kujua kupitia mtandao wa Facebook amehukumiwa kifungo cha miaka miaka jela.

Hakimu mkuu wa Milimani Esther Kimilu alimhukumu Moses Njoroge baada ya mahakama kumpata na hatia ya kumdhuru mwanamke huyo.

“Natambua adhabu ya lazima ni kifungo cha maisha lakini kutokana na kujuta kwa mshitakiwa na dhamira ya kubadilika imenishawishi kumfunga miaka iliyopita,” aliamuru hakimu huyo.

Mahakama haikutoa chaguo la faini. Hakimu alisema kuwa mwathiriwa bado anaendelea na matibabu miaka miwili tangu tukio tukio hilo.

Alisema alizingatia kwamba mshtakiwa alikuwa amejitolea kurekebisha tabia yake ya ulevi na masuala ya ripoti kulingana na ripoti hiyo.

Njoroge alishtakiwa kwa kumdhuru mpenzi wake mnamo Septemba 13, 2020.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved