logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Picha: Uharibifu kwenye magari ya kiongozi wa Azimio Raila Odinga baada ya maandamano

Wakati wa maandamo hayo mji wa Nairobi ulisalia mahamame huku wengi wakisalia nyumbani.

image
na Radio Jambo

Habari21 March 2023 - 09:44

Muhtasari


• Kina wa upinzani aliongoza msafara mkubwa magari katika maandamano jijini Nairobi. 

Mlinzi wa Raila akiwa ndani gari la Raila wakati wa maandamano, 20/3/2023.
Kinara wa Azimio Raila Odinga akiwa na mshauri wake Makau Mutua ndani ya gari wakati wa maandamano 20/3/2023.
Dereva wa Raila akiwa kwenye msafara wa maandamano.
Gari lililokuwa na kipaza sauti, lilikuwa limegongwa mbele.
Gari la mwanawe Raila Odinga ambaye pia ni mbunge wa EAL Winnie Odinga aliyejiunga na wandamani 20/3/2022 pia hali ksazwa.

RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved