logo

NOW ON AIR

Listen in Live

Safari ya siasa ya Bahati: Kutoka kujiunga na Jubilee, kulia kwa kupokonywa tiketi hadi kuingia UDA

Bahati aliwania kiti cha ubunge wa Mathare kwa mara ya kwanza mwaka jana ila akalambishwa sakafu.

image
na Radio Jambo

Habari13 April 2023 - 09:31

Muhtasari


•Bahati aliwania kiti cha ubunge wa Mathare kwa mara ya kwanza mwaka jana ila akalambishwa sakafu.

Bahati ambaye aliwania kiti cha ubunge wa Mathare kwa tiketi ya Jubilee katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana alikaribishwa kwenye UDA  siku ya Jumatano na katibu mkuu wa chama hicho Cleophas Malala.

Katika uchaguzi wa mwaka jana, Bahati aliibuka wa tatu katika kinyang’anyiro cha ubunge wa Mathare huku  Anthony Oluoch wa ODM akichukua ushindi. Billian Ojiwa wa UDA alimaliza katika nafasi ya pili.

Hilo lilikuwa ni jaribio la Bahati la kwanza kuwania kiti cha kisiasa nchini Kenya.


RADIO JAMBO FREQUENCIES

Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7


logo© Radio Jambo 2024. All rights reserved