NOW ON AIR
Askofu alitaja usimamizi mbaya wa raslimali za serikali kama suala linalofaa kushughulikiwa haraka.
Muhtasari
• Askofu Ole Sapit alisikitika kuwa serikali imeonyesha hali kutojali hisia za wakenya na changamoto wanazopitia.
• Alisema wakenya hawawezi kumudu nyongeza ya ushuru zaidi wakati huu wanapopitia hali ngumu ya maisha.
Kisumu 100.1 | Mombasa 92.3 | Nakuru 96.9 | Eldoret 99.5 | Nyeri 99.3 | Nyahururu 97.3 | Webuye 95.3 | Meru 92.7 | Kitui 104.9 | Kibwezi 104.7 | Voi 105.7 | Malindi 98.1 | Lamu 104.7 | Narok 97.3 | Kapenguria 99.7 | Kisii 89.3 | Garissa 104.3 | Maralal 97.3 | Lodwar 92.7